BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !! WATOTO WATATU WATOLEWA CHINI YA UVUNGU WA BASI LA MGAMBA WAKATI WAKISAFIRI KWA SIRI KAHAMA SHINYINGA.

 
Watoto watatu waliokuwa wakiishi mjini Kahama mkoani Shinyanga wamekutwa chini ya basi la Mgamba linalofanya safari zake za kusafirisha abiria kati ya Kahama na Arusha.

 
Tukio hilo lilitokea baada ya askari wa kikosi cha usalama barabarani Shinyanga kulifanyia upekuzi wa kawaida na kuwakuta watoto hao watatu waliokuwa wakisafiri kwa siri chini ya uvungu wa basi hilo ambapo tukio limewastua watu wengi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: