BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MADERAVA WA MABASI WAAMUA JAMBO JUU YA MGOMO !.

Mgomo wa madereva wa mabasi, malori na daladala umesitishwa na madereva hao baada ya makubaliano na serikali na tayari baadhi ya mabasi yameanza madereva kuendesha magari kwa ajili ya kutoa huduma za usafirishaji wa abiria hapa nchini.

 
Kwa taarifa tulizo nazo MTANDA BLOG, Kwa upande wa Morogoro hali bado inaendeelea kwa wakati huu kwa gari aina ya center, kirikuu na bajaj hasa zile za kubeba mizigo zikiendelea kutoa huduma ya kubeba abiria katika kona mbalimbali za Manispaa ya Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: