BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWIMBAJI WA INJILI AZUA MJADALA KATIKA MTANDAO, KISA EDWARD LOWASSA KUTUNGIWA WIMBO WA KUMSIFIA !!!!.

  • Mdude Chadema and Mdude Chadema Nyagali posted in 3 groups.
    • Nilipokuwa naambiwa huyu Bahati Bukuku ni miongoni mwa devil worship yani muabudu shetani au freemason nilikuwa siamini.

      kitendo alichokifanya bahati bukuku cha kuimba wimbo wa kumsifia Edward Lowasa baada ya kupewa milion 50 kimenifanya niamini kuwa kweli bahati Bahati Bukuku ni muumini wa devil worship.

      haiwezekani lowasa aliyeliingiza taifa kwenye hasara na ufisadi mkubwa wa richmond iliyopelekea umeme kupanda bei na kusababisha mfumuko wa bei leo hii muimbaji wa dini amsifie?hivi siku ya mwisho wa dunia ukaachwa utamlaumu MUNGU kuwa amekuonea ?.
       
      Mpaka sasa watanzania wanaendelea kupigwa hela na lowasa kwa simu zao za mkononi ususani vodacom ambayo lowasa anamiliki hisa kibabe na kila vocha hulipwa sh.13 na wala halipi kodi halafu muimbaji wa nyimbo za injili anaimba nyimbo ya kumsifia eti tu kisa kapewa milion 50 ?.
       
      Hakika safari ya mbinguni ni ngumu sasa hapa ndio nimeamini andiko linalosema makahaba watawatangulia kuingia ufalme wa mungu..
       
      Ni bora ya kahaba anayeuza mwili wake kwa sababu ya dhiki kuliko bahati bukuku anayeimba nyimbo za kuwasifia wezi waliosababisha watu kuwa na maisha magumu kiasi kwamba wakasahau hadi siku za ibada.


      hakika safari ya mbinguni ni ngumu maana njia ni nyembamba Bahati Bukuku ni mnene hivyo ni kazi kuuona ufalme wa mungu.

      Ninalaani kitendo hiki cha bahati bukuku kumkosea MUNGU makusudi.
  • Papaking Parament Mdude Nakufananisha Na Yule Mdudu Anaesukuma Makusanyo Ya Vnyec Knyume Nyume Kwa Nilotic Tunamuita "Elemunju" Husukuma Hata Kama Mbelen Kuna Shmo Kubwa Mrad Inasogea Ndo Ulvyo.Jadil Klcho Na Tja.
  • Kalikene Kalikene Hv wee Mdude ukipewa hizo m 50 wee utazikataa? tuwage wakweli buana wacha watu watafute pesa ufalme wa mbingu mbele kwa mbele kwanza uwezo wa kuuona ni mdogo sana.
  • Fredrick Mkanje 2ache unafki hakuna m2 anaeweza kukataa milion 50 kwa maisha ya sasa
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: