BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS OBAMA AUMBULIWA SAKATA LA KUUAWAWA KWA OSAMA BIN LADEN.

Mwaandishi mmoja mashuhuri kwa ripoti za upekuzi, Seymour Hersh, amekanusha madai ya utawala wa Rais Obama



kuhusiana na kuuawa kwa kinara mkuu wa kundi la wapiganaji la Al-Qaeda, Osama Bin Laden, nchini Pakistan miaka 8 iliyopita.

Akiandika katika jarida la London Review of Books, Bwana Hersh, alikanusha madai ya Washington kuwa, kutekwa na kisha kuuawa kwa kiongozi huyo wa AlQaeda ilikuwa ni janja janja za shirika la kijasusi la Marekani CIA.

Hersh anasema ukweli ni kuwa walisaidiwa pakubwa na shirika la kijasusi la Pakistani.

Aidha kiongozi mkuu wa kijasusi wa Pakistan anasemekana kuongoza mikakati ya operesheni hiyo ya kisiri.

Mwaandishi mmoja amekanusha madai ya utawala wa Rais Obama kuhusiana na kuuawa Osama Bin Laden

Wakati ambapo Pakistan ilipojitenga na uvamizi huo na kuutaja kama ukiukaji wa uhuru na mipaka yake.

Marekani wala Pakistan hazijasema chochote hadi kufikia sasa.BBC





Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: