Jiji la Dar es Salaam limekumbwa na mafuriko ambayo yamesababisha jijini hili wakazi wake sanjari wa wageni kujikuta katika wakati mgumu baada ya mvua kunyesha mfulullizo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu pamoja na baadhi ya watu kukosa makazi yao huku watu watano wakifariki dunia.
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, limetoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara kutoka maofisini mapema kufuatia baadhi ya barabara kujaa maji.
Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa
/ TASWIRA YA KARAHA YA MAJI YA MAFURIKO MEI 08/ 2015 KATIKA PICHA, JIJI LA DAR ES SALAAM.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment