BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UTALII WA NDANI NA USTARABU KATIKA SOKO LA SAMAKI FERI JIJINI DAR ES SALAAM.

 http://jumamtanda.blogspot.com
Eneo la soko la samaki feri, hapa mkazi wa jijini Dar es Salaam anaonekana akiondoa haja ndogo mwilini na kuimwaga katika bahari ya hindi huku akipata muda wa kuangalia chombo cha majini kilichokuwa kinaelekea Zanzibar na abiria walioanza safari banadari ya Dar es Salaam.PICHA/MTANDA BLOG

http://jumamtanda.blogspot.comMeli kubwa iliyobeba makontena ikielekea kutia nanga bandari ya Dar es Salaam wakati ikitokea nchi za Ulaya kuleta bidhaa mbalimbali.http://jumamtanda.blogspot.com

http://jumamtanda.blogspot.com
Mitimbwi ikiwa imetapakaa nguo za wavuni lakini kwa tukio hili la bendera ya chama tawala ikipepea, Vyama vya upinzani wanapaswa kujipange kwa dhati kama wanataka kuking'oa chama hicho.
http://jumamtanda.blogspot.com
Hapa ustarabu sefuri kabisa, wakazi wa jiji hilo wakijisaidia haja ndogo.
http://jumamtanda.blogspot.com
Boti ikielekea Visiwani Zanzibar ambapo kutoka Dar es Salaam ni mwendo wa dakika 30 mpaka dakika 45.
http://jumamtanda.blogspot.com
 Mtumbwi ukionekana ukiuvuta mwingine, hii ni moja ya burudani ya macho ufikapo feri.
http://jumamtanda.blogspot.com
Pweza akiandaliwa kwa kupigwa katika mchanga ili kuweza kuilaini sambamba na mikia yake kuweza kuchaninika, Pweza anadaiwa kuwa na virutubisho vingi vinavyochangia kusaidia kwa mama anayenyoshesha mazaiwa kutoka kwa uwingi na kuongeza uwingi wa damu.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: