BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANABLOGU ALIYEUTUKANA UISLAMU, KUENDELEA KUITUMIKIA ADHABU YA KUCHAPWA VIBOKO 1,000 NA MIAKA 10 JELA.

 
Mahakamu kuu nchini Saudia imeamua kuwa hukumu ya kifungo cha miaka 10 na viboko 1000 dhidi ya mwanablogu Raif Badawi aliyepatikana na hatia ya kutukana Uislamu itabaki vile ilivyo.

Utalawa nchini Saudi Arabia uliamuru kusikilizwa tena kwa hukumu hiyo kufuatia shutuma za kimataifa baada ya bwana Badawi kuchapwa viboko hamsini mapema mwaka huu.

Mkewe na makundi ya haki za kibinadamu yameonya kuwa huenda akafariki ikiwa hukumu hiyo yote itatekelezwa.

Bwana Badawi alikamatwa kufuatia blogi aliyoanzisha ambayo ilikashifu baadhi ya tamaduni nchini Saudi Arabia.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: