BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE APANIA KURITHI KITI CHA URAIS BAADA YA DKT KIKWETE KUMALIZA MUHULA WAKE IKULU.

Mwanafunzi Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma katika Chuo Kikuu cha Mzumbe, Maliki Salum Malupu (34).Picha Juma Mtanda.


Alitangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM akiahidi kushughulikia suala la Elimu, Afya, Kilimo na Michezo Juni Mosi mjini Morogoro.


Kutokana na kitendo hicho cha kijana huyo kutangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM kumezua mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii hata vyombo vya habari.

Mijadala hiyo inakuja kutokana na umri wake wa miaka 34 huku moja ya sifa ya mgombea urais ikimtaka mgombea kuwa na umri wa miaka 40.

vifungu vya katiba ya nchi inamtaka mgombea awe na umri wa miaka 40 lakini ndani ya katiba ya CCM ikifungua milango ya mgombea kugombea nyasfa mbalimbali bila kujali umri.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: