Wafuasi wa vyama vinavyiunda Ukawa wakiwa kwenye lori la wazi wakati likiwapeleka kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni ya umoja huo uliozinduliwa kwenye uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam ambapo mgombea urais wa jamhuri wa muungano Edward Lowassa na makamu wake Dk Juma Duni Hali pamoja na wabunge, madiwani waliombewa kura za ndiyo katika uchanguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu.
Sehemu ya wafuasi na wanachama wanaounda ukawa katika viwanja cha Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni leo jijini Dar es Salaam.
Magari ya abiria yalitumika kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani ili wanachama, wapenzi na wafuasi kuweza kushuhudia uzinduzi huo.
Hii ni daladala nyingine
Costar ikiwa na
Landcuser nalo likiwa na wafuwasi hao
Hawa ni wafuasi wengine
Wafuasi wa Chadema wakiwa katika daladala wakati wakielekea katika uzinduzi wa kampeni wa ukawa leo agosti 29/ 2015.

0 comments:
Post a Comment