Maafisa wa polisi nchini Uhispania
wamemkamata raia mmoja wa Morroco baada ya nduguye ambaye alikuwa
anasafrishwa hadi nchini Uhispania ndani ya sanduku kukosa hewa na nusra
afariki.
Licha ya kujaribu kumfufua mtu huyo alifariki.
Maafisa wa polisi wamemshtaki nduguye ambaye alikuwa akisafiri kwa kutumia pasipopti ya Ufaransa kwa mauaji ya kutokusudia.BBC
0 comments:
Post a Comment