BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!! RAIS DK MAGUFULI APENDEKEZA JINA LA KASSIM MAJAWALI KUWA WAZIRI MKUU KWA MWAKA 2015/2020.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amependekeza jina la Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai na kupokea.

Majaliwa ambaye ni mbunge mteule wa Rungwa ambapo katika uongozi wa Rais Dkt Jakaya Kikwete alikuwa Naibu Waziri, wa Tamisemi huku wabunge wakiwa na kazi moja kudhibitisha jina hilo ama laa, leo bungeni.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: