BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MANENO YA BUSARA, HEKIMA YENYE KUJENGA AMANI TANZANIA.

 
DISMAS LYASSA.

Tanzania haijatoa rushwa kwa Mungu kuwa kisiwa cha amani. Hapana !.

Amani hii ilijengwa, kukuzwa na kulindwa na waasisi wa taifa hili. 

Lazima tuipiganie isituponyoke na anayetuelekeza huko tumwambie hapana kwa umoja wetu bila kujali ni ndugu, rafiki, kada mwenzetu, dini yetu n.k......

PLEASE! PLEASE! PLEASE kipaumbele chetu cha kwanza kiwe ni kuimarisha amani...hata post unazoweka katika mitandao ya kijamii weka post zinazoshabikia uwapo wa amani.....

KAMA HUELEWI UMUHIMU WA AMANI NENDA SOUTHERN SUDAN, NENDA SOMALIA NK....

NENDA UKAONE KAMA WATU WANATEMBEA USIKU OVYO KAMA HUKU TANZANIA, WATU WANATUKANA VIONGOZI OVYO NA BADO WAKO HAI....NENDA N KOREA UKAONE MAANA YA KUTOKUWA NA DEMOKRASIA... 

SISI TUKO VIZURI TUNAPASWA KUJIPONGEZA WAKATI HUO TUKIENDELEA KUJIIMARISHA....

LAKINI PIA WAKATI TUNAJADILI DEMOKRASIA TUNAPASWA KUANZA NA HALI ILIVYO KWENYE VYAMA VYA SIASA...

KUNA DEMOKRASIA KATIKA VYAMA VYETU VYA SIASA? MFANO TLP, NRD NK KUNA DEMOKRASIA NK..
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: