BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIDEO IKIMUONYESHA ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI AKIPOKEA RUSHWA TANGA KISHA KUFUKUZWA KAZI NA JESHI HILO.

Askari wa kikosi cha usalama barabara Tanga lamfukuza kazi kwa tuhuma za kupokea rushwa Tanga.
JUU VIDEO ILIYOFANYAWA UHARIRI.


CHINI NI VIDEO ILIYOCHUKULIWA KAVU KAVU.

Jeshi la polisi Mkoani Tanga linamshikilia aliyekuwa askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa kutoka kwa madereva barabarani.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: