Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala, Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Sadiq Murad na Mbunge wa jimbo la Lupa Victor Mwambalaswa

Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es salaam mchana wa leo March 31 mwaka 2016 kwa tuhuma za rushwa, huku ripoti zikieleza kuwa waliomba rushwa ya sh30 mil.

0 comments:
Post a Comment