BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGOMO WA DALADALA WAINGIA SIKU YA PILI MANISPAA YA MOROGORO

Moja ya magari ya kubeba mizigo likiwa limebeba abiria kutoka Kihonda kuelekea katikati ya mji wa Manispaa ya Morogoro kufuatia madereva na wamiliki wao kufanya mgomo wa kusafirisha abiria kutumia daladala ulioanza jana April 21 na kuingia siku ya pili ya April 22 mwaka huu na kusababisha adha ya usafiri.PICHA/MTANDA BLOG

Wanafunzi wa shule ya msingi Mtawala Manispaa ya Morogoro wakitembea kando ya barabara eneo la Machinjio wakati wakiekea shuleni baada ya kutokea kwa mgomo huo.PICHA/MTANDA BLOG

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: