
Bao la kusawazisha kwa mabingwa hao watetezi lilipachikwa wavuni na mshambuliaji Mrundi, Amiss Tambwe dakika ya 50 ambalo limekuwa bao lake la 19 akifunga kwa kichwa baada ya krosi ya Donad. Ngoma.
Toto African walipata bao la kuongoza dakika ya 39 lililofungwa na mshambuliaji, William Kimanzi aliyefunga kufuatia kona iliyochingwa na Abdalla Seseme
0 comments:
Post a Comment