TASNIA YA SANAA YA VICHEKESHO YAKUMBWA NA MSIBA MZITO TANZANIA, MSANII KINYAMBE AFARIKI DUNIA MBEYA. mtanda blog 10:41 AM michezo , slider Edit Msanii wa vichekesho nchini, Mohamed Abdallah (Kinyambe) amefariki Dunia jijini Mbeya usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki dunia katika hospitali wakati akipatiwa matibabu. Tunaendelea kufuatia kwa kina taarifa za msiba huo. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment