Akizungumzia suala hilo jana, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi alisema inadaiwa chatu huyo alionekana mara moja na ofisi yake imetuma wataalamu kumsaka.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Lubakaya, Abdallah Kaniki alisema wamekubaliana na wananchi kulifanyia usafi shamba ambalo linadaiwa chatu huyo ameweka makazi yake na lingine la jirani ambayo yana ukubwa wa eka 20.MWANANCHI
0 comments:
Post a Comment