BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !! ALIYEMUUA MWANDISHI WA CHANEL TEN AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 15 JELA IRINGA.

 
Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemfunga miaka 15 kwa kosa la kuua bila kukusudia askari wa kikosi cha kuzuia ghasi, Picifius Simon aliyekuwa akituhumiwa kumuua mwandishi wa habari wa kituo cha Chanenel Ten, Daud Mwangosi huko Nyololo wilayani Mufindi.

Hukumu hiyo iliahirishwa toka wiki iliyopita hadi leo Jaji wa Mahakama hiyo, Dk Paul Kihwelo amesema kuwa mahakama ilimitia hatiani mtuhumiwa huyo kufuatia ushahidi alioutoa mlinzi wa amani.

Jaji Kihwelo amesema kuwa mbele ya mlinzi wa amani mtuhumiwa alikiri koso hilo akisema alitenda bila kudhamiria.MWANANCHI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: