BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LEO AUGOSTI 19 NI SIKU YA KUSHEREHEKEA MIAKA 177 YA KUPIGA PICHA DUNIANI

 
Leo ni siku ya kupiga picha duniani kukumbuka ugunduzi wa picha duniani.

ni ishara inayotupatia sisi taswira mpya ya dunia na kutuweka pamoja.


Hii inaonyesha na kudhihilisha heshima kubwa walionayo waandishi wapiga picha na aina nyingine zinazowasirisha ujumbe  katika njia mbalimbali kwa picha.


Celebrating 177 Years of Photography.
Today is World Photo Day, marking the invention of photography. Here's to the images that give us new perspective on the world, bringing us closer together.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: