ABOUD JUMBE AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM AKIWA NA ZAIDI YA MIAKA 80.
Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni jijini Dar es Salaamu baada ya kuugua kwa muda mrefu ambapo Mzee Jumbe alizaliwa Juni 14 mwaka 1920.
Mwili wa Mzee Aboud Jumbe Mwinyi utafirishwa kwenda Visiwani Zanziba kesho na mazishi yanatarajiwa kufanyika eneo la Migombani majira ya saa 7 mchana.
Mwenyezi mungu aimlaze roho ya marehemu mahali pema na kauli thabiti. Ameen.
0 comments:
Post a Comment