BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA SC YADONDOKEA PUA DHIDI YA TP MAZEMBE KWA KUFUNGWA BAO 3-1.

Score final TP Mazembe-Young Africans SCBao la Yanga sc lilipatikana dakika ya 75 kwa Amis Tamwe kufunga bao la kufutia machizi baada ya foulo ilipigwa na Harouna Niyonzima kugonga mwamba na mpira kurudi uwanja na kumkuta mfugaji aliyeusukumiza mpira kimiani.

Mabao ya wenyeji yalipachikwa wavuni na  A, Traore Kanda dakika ya 71 huku Maisha Bolingi akifunga bao la pili dakika ya 74 kabla ya Frimpong Kalaba akihitimisha bao la tatu katika mchezo huo.
TP Mazembe 3 - Yanga SC 1.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: