BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DONALD TRUMP KUTUMIA GARI AINA YA CADILLAC ONE AMBALO LINA KILA AINA YA ULINZI

 Ukilitazama kwa nje unaliona kama gari la kawada tu.
 

Ni Gari ndogo aina ya Cadillac One lakini lina uzito wa tani 9.
na lina uwezo wa kutembea usiku bila kuwasha taa zake za mbele kutokana na kufungwa kifaa maalum (lenzi).

Gari lina uwezo pia wa kutembea zaidi ya kilometa 100 likiwa lina pancha (umbali wa kutoka Dar hadi Chalinze) katika magurudumu lake .
Watalaamu wanaeleza kuwa endapo gari hilo litaanguka au kupata madhara yoyote rais anaweza kukaa ndani ya gari kwa saa 24 huku akitumia hewa maalumu iliyopo ndani ya gari hilo.
 

Bodi ya gari hilo ni imara na hakuna risasi inayoweza kupenya huku vioo vya gari vikiwa vina unene wa inch 8 au cm 20 au mm 200 na hakuna risasi inayoweza kupenya kutokana na utaalam uliotumika wakati wa kuundwa kwake
 

Pia lina vifaa maalum vya kurekodi mzunguko wa damu ya Rais pindi awapo ndani ya gari hilo lililotengenezwa kwa ghalama kubwa ya fedha.

The United States presidential state car (nicknamed "The Beast", "Cadillac One", "First Car"; code named "Stagecoach") is the official state car of the President of the United States.


Gari hilo sasa litatumiwa na rais mteule Donald Trump
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment