BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ESTHER BULAYA AMWANGUSHA STEVEN WASSIRA MAHAKAMANI

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya ameibuka mshindi katika kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wanachama wanne wa CCM pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo(CCM) Steven Wassira. 

Katika kesi hiyo, wanachama hao walidBi kuwa uchaguzi huo haukufuata sheria na taratibu na mgombea wa CCM(Wassira) aliomba kura zihesabiwe upya lakini akanyimwa na akanyimwa pia nakala ya matokeo.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment