BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTO WENYE UWEZO WA KUSHIKA SIMU NA KUZUIA MAJI YASIINGIE WAKATI UNAPOOGA

Siku hizi watu wengi wanatumia simu za mkononi kila wakati na kila mahali. 

Kampuni ya Thanko ya Japan imesanifu mto unaojazwa hewa ambao unaweza kukusaidia kushika simu yako ya mkononi, mto huo pia una mfuko unaozuia maji yasiiingie ndani, hivyo hata unapooga, unaweza kuendelea kutumia simu yako.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: