BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MOHAMED HUSSEIN MMACHINGA ANAZEEKA NA REKODI YAKE ILIYOSHINDIKANA KUVUNJWA NA SIMON MSUYA

Mohammed Hussein 'Mmachinga' enzi zake akichezea klabu ya  Yanga SC mwaka 1993.
 
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga SC, Mohamed Hussen "Mmmachinga" ndiye mfungaji bora wa muda wote ligi kuu Tanzania bara tangu kuanzishwa kwake. 


Mmachinga aliweza kuwatungua makipa hodari kama Mohamed Mwameja (Tanzania One) akiwika na klabu yake ya Simba SC ambapo alifunga jumla ya bao 26 katika msimu mmoja tu wa ligi.
Mohamed Hussein Mmachinga wa tatu kutoka kushoto waliochuchumaa akiwa na kikosi cha Yanga.

Kutokana na rekodi mpaka leo bado haijaweza kuvunjwa na mshambuliaji yoyote wa ligi katika huku mshmabuliaji wa zamani wa klabu ya Mtibwa Sugar ya Turiani Morogoro, Abdallah Juma alimanusura aivunje rekodi hiyo baada ya kufunga bao 25 katika msimu wa mwaka 2014.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment