BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWAKA 2017 NA MATUKIO MENGI YA KUKUMBUKWA, LULU ANAINGIA BABU SEYA ANATOKA

 
Hii ndiyo imeendelea kuwa habari ya mjini mpaka sasa.

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu tasnia ya Bongo Muvi kuingiwa na majonzi baada ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kuua bila kukusidia, ghafla inaibuka faraja baada ya kutolewa jela familia ya Babu Seya.

Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanawe, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ walihukumiwa kifungo cha maisha tangu mwaka 2004 kabla ya Desemba 9, mwaka huu kutoka gerezani wakati wanatumikia kifungo cha maisha jele kupata msamaha.


Rais John Magufuli alitangaza kuwasamehe wanamuziki hao na kubadili upepo wa majonzi ya Lulu kuwa furaha kwa wapenzi wa burudani kutokana na tukio hilo wakati wa sherehe za Desemba 9 mjini Dodoma.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: