Justin Mashoto kushoto akitayarisha kuni kwa kucharanga kwa ajili ya kuwauzia wateja wao katika ghala lao mtaa wa Kaloleni Mjimpya Manispaa ya Morogoro ambapo nishati hiyo imekuwa ikitumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha wastani kutokana na kushindwa kumudu ghalama za nishati ya umeme kuzimudu kwa matumizi ya kupikia, fungu moja huuzwa kati ya sh 500 na sh 1,000.
0 comments:
Post a Comment