BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUNASUA DALADALA KTK TOPE BAADA YA KUNASA.


Wakazi wa Mazimbu Mahakamani wakilisukuma daladala T284 AMG baada ya kukamwa kwenye tope kutokana na miundombinu ya barabara hiyo kuharibika hali iliyopelekea wamiliki wa daladala wa Mazimbu-Mjini kufanya mgomo wa kusafirisha abiria kwa wakishinikiza serikali kukarabati barabara ya Mazimbu mjini hapa.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: