UFUNFUZI WA TAWI LA NMB MORO.
WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MUSTAFA MKULO AKIKATA UTEPE IKIWA NI ISHARAA YA UFUNFUZI WA TAWI LA BENKI YA NMB MASIKA MANISPAA YA MOROGORO KUSHOTO NI MWENYEKITI WA BODI YA NMB MESHACK NGATUNGA.
DR MZERU MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AKIMSIKILIZA KWA UMAKINI WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI KULIA WAKATI WA UFUNFUZI WA TAWI HILO KATIKATI NI MTENDAJI MKUU BENKI YA NMB BEN CHRISTANCE.
WAZIRI MKULO AKIMKABIDHI MSAADA WA MBAO MWALIMU MKUU JEAN MLANGWA ZILIZOTOLEWA NA NMB BAADA YA SHULE MISUFINI MANISPAA YA MOROGORO KUEZULIWA BATI ZAKE NA UPEPO ULIOMBATANA NA MVUA HIVI KARIBUNI.
0 comments:
Post a Comment