BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UTEKETEZAJI WA SILAHA HARAMU MORO.


Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya katikati akingalia silaha chakavu muda mfupi kabla ya zoezi la kuziteketeza kwa moto katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Resca Dk Francis Sang na kulia ni Balaozi wa Japan Nchini, Hiroshi Nakagawa, jumla ya silaha haramu 5,6262 zimetekezwa baada ya kuzikama sehemu mbalimbali nchini.



Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya kulia akingalia silaha chakavu muda mfupi kabla ya zoezi la kuziteketeza kwa moto katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kushoto ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Resca Dk Francis Sang na jumla ya silaha haramu 5,6262 zimetekezwa baada ya kuzikama sehemu mbalimbali nchini.



Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya kulia akingalia silaha haramu na Katibu Mtendaji wa Shirika la Resca Dk Francis Sang muda mfupi kabla ya ya zoezi la kuziteketeza kwa moto katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo jumla ya silaha haramu 5,6262 zimetekezwa baada ya kuzikama sehemu mbalimbali nchini.



Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya akiziteketeza silaha haramu kwa moto katika zoezi la kuzitekeza lililofanyika katika uwanja wa Jmahuri mjini Morogoro ambapo jumla ya 5,6262 zimetekezwa baada ya kuzikama sehemu mbalimbali nchini.





Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: