BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JANDO KABILA LA WAMAKONDO MTWARA.


WANAUME WAKIJENGA JANDO.

VIJANA WAKIWA NA NYASI KWA AJILI YA KUEZEKA JANDO.

MTOTO AKINYOLEWA NYWELE MUDA MFUPI KABLA YA KWENDA JANDONI.


MTOTO AKIWA KATIKA TAMBIKO KULINGANA NA MILA NA DESTULI LA KABILA HILO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Subi Nukta said...

Shukrani kwa kukumbusha kuwa bado utamaduni huu unadumishwa kwa baadhi ya makabila.