BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NDIZI SOKO KUU LA MOROGORO.

Kijana mbeba mizigo katika soko kuu la mkoa wa Morogoro akisomba ndizi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambapo ndizi zimekuwa zikitumiwa na waumini wa dini ya kiislam kwa ajili ya futari katika mwezi huu wa funga ya ramadhani.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: