BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIAZI KWA AJILI YA FUTAL KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMI.

GODFRAY LUANDA AKIPANGA VIAZI KATIKA SOKO LA MAWENZI MKOANI MOROGORO WAKATI AKISUBIRI WATEJA WAKE AMBAPO AMEKUWA AKIWAUZIA KWA UWINGI WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KWA AJILI KUPIKA FUTARI KATIKA MWEZI HUU WA RAMADHANI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: