KAMATAKAMATA YA WAPIGA DEBE MORO.
Askari wa jeshi la polisi Manispaa ya Morogoro akiwafunga pingu wapigadebe wa stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya mji huo wakati wa operesheni ya kukamata wapiga debe na makondakta wasiovaa sare.
Hapa baada ya kukamatwa muda mfupi kabla ya kupelekwa lupango kwa ajili ya kuwaandalia mashtaka kwa makosa hayo ambapo wapiga debe wanadaiwa kutoka kiasi cha sh 6,000 kwa kuzaja abiria katika daladala moja yanayofanya kazi ya kusafirishaa abiria kati ya Mlali na mjini hapa.
0 comments:
Post a Comment