Kijana Heri Juma (mwenye kibalaghashia) akiwashawishi waumini wa dini ya kiislam kununua kanzu katika msikiti wa Kingo Manispaa ya Morogoro ikiwa ni maandalizi ya mavazi kwa ajili ya sikukuu ya Ed-Fitiri ambayo husherekewa wa waumini wa dini baada ya kumalizika kwa mfungo wa ramadhani.
0 comments:
Post a Comment