UHABA WA MAJI UYOLE KTK JIJINI MBEYA.
WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAKIWA KWENYE PICHA TOFAUTI MMOJA AKIWA NA MADUMU YA MAJI NA MUNGINE AKIWA NA MKOKOTENI WENYE MADUMU YA MAJI WAKATI AKISAKA MAJI HAO KWA AJILI YA MATUMIZI YA NYUMBA ENEO LA UYOLE AMBAPO ENEO HILO LIMEKUWA NA TATIZO LA MAJI SAFI NA WAFANYA BIASHARA KUTUMIA MWANYA HUO KUUZA MAJI KWA DUMO MOJA KWA SH 200.
0 comments:
Post a Comment