Binti mkazi wa Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba lundo la ndoo kichwani eneo la Mayuku wakati akitafuta maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani baada ya Manispaa hiyo kukumbwa na uhaba wa maji wa mara kwa mara.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment