BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SAMAKI AINA YA NGURUKA KUTOKA KIGOMA.


Mfanyabaishara wa kuuza samaki, Jumanne Kinanila akiwatayarisha samaki aina ya nguruka kutoka mkoa wa Kigoma kwa kuwatenga wakubwa na wadogo baada ya kuwanunua kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa ndani ya soko kuu la mkoa wa Morogoro kisha kuwauza kwa bei ya reja reja ya sh 100 kwa fungu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: