Wazazi wakiwa wamepakata vichanga vyao mara baada ya kujifungua salama katika mkesha wa sikukuu ya krismasi wadi ya wazazi katika kituo cha afya Manispaa Morogoro, jumla ya watoto sita walizaliwa wanne wakiwa wa kiume na wawili wa kike.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment