ZIARA YA MBUNGE MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA NA SOKO KUU.
MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZI ABOOD (ALIYECHUMAA)AKIANGALIA MAJI YA BWAWA LA MINDU AMBAYO YAMEBADILIKA RANGI NA KUWA KIJANA AMBAPO KUTOKANA NA HALI HIYO KWA MUJIBU WA WATAALUM INATOKANA NA KUPUNGUA KWA KINA NCHA MAJI KATIKA BWAWA HILO NA KUSABABISHA UHABA WA MAJI KATIKA MANISPAA HIYO,
HAPA AZIZI ABOOD AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MENEJA BIASHARA MAMLAKA YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI MHANDISI ROMAN LEWANGA JUU YA CHANZO CHA UPUNGUFU WA MAJI KATIKA BWAWA LA MINDU.
ABOOD AKIWA NA MWEENYEJI WAKE WAKATI AKIANGALIA NAMANA MAJI BAADA YA KUFIKA KATIKA KITUO CHA KUTIBU MAJI CHA MAFIGA KABLA YA KWENDA KWA WATEJA.
KULIA, ISMAIL RASHID AMBAYE NI MFANYABIAHSRA KATIKA SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO AKIZUNGUMZA JAMBO KWA AZIZI ABOOD KAATIKATI NA MKURUGENZI WA MANISPAA HIYO JOVIS SEMBEYE KATIKA ZIARA HIYO.
0 comments:
Post a Comment