BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SAMAKI AINA YA MKUNGA WAPO KIBAO MTO MOROGORO.



MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KAMBARAGE ILIYOPO CHAMWINO MJINI MOROGORO SAIDI RASHIDI (13)KUSHOTO AKIWA NA MWENZAKE WAMEWASHIKA SAMAKI AINA YA MKUNGA MARA BAADA YA KUWAVUA KATIKA MTO MOROGORO ENEO LA DARAJA KUU KATIKATI YA MJI HUO KWA AJILI YA KITOWEO BAADA YA KUMALIZA MUDA WAO WA MASOMO.

CHINI: IDDI ALFANI (13)AKIWA NA SAMAKI HUYO NA SAMAKI AINA NYINGINE CHINI YAKE.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: