BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SARE YA SHULE YA MSINGI.


Burelwa Majira kushoto akimjaribisha sare mwananfunzi Ahmadi Msafiri wa darasa la saba katika shule ya msingi Lusanga iliyoko katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro katika eneo la sabasaba wakati wa mnada unaofanyika kila jumapili kwenye kata ya uwanja wa taifa kwa ajili ya ufunguzi wa shule za msingi kwa muhula wa masomo mwaka 2011 mjini hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: