BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHINI YA ULINZI MKALI.



Baadhi ya watuhumiwa wa ujangili wakazi wa kijiji cha Omari Saidi (73) kulia na Almasi Athmani (49) kushoto wakazi wa kijiji cha Visakaza kata ya Ubena Zomozi wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa na nyama kavu ya wanyama aina ya Tandala na kongoni mara baada ya kukamatwa na askari wa wanymapili wa hifadhi ya Wami-Mbiki madai ya kuwinda wanyama kinyume na taratibu za uwindaji katika ofisi kuu ya hifadhi hiyo mjini Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: