DAWA INAYODAIWA KUTIBU MARADHI MBALIMBALI YAPATIKANA MORO
Fatuma Sengo (41) akimimina dawa inayodaiwa kutibu maradhi mablimbali katika eneo la nyumba yake kwa ajili ya kuwapatia wagonjwa kwa kiasi cha sh 200 katika mtaa wa Kalakana kata ya Kichangani Manispaa ya Morogoro, kushoto ni mtoto Ashinuri Pichuu (4) ambaye ndiye anayehusika kupokea pesa na kutoa dawa kwa mgonjwa.
0 comments:
Post a Comment