BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LORI LILILOSABABISHA AJALI NA BASI NDOGO FIVE STAR.


LORI LENYE NAMBA YA USAJILI T 559 BDL SCANIA LIKIONEKANA KWA NYUMA HUKU LIKIWA LIMEGONGWA NA BASI NDOGO T 351 BGE LILILOWABEBA WASANII WA KUNDI LA MUSIKI WA TAARABU LA FIVE STAR NA KUPATA AJALI ENEO LA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI NATIONAL PARK BARABARA KUU YA IRINGA-MOROGORO NA WASANII 13 KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE 13 KUJERUHIWA KATIKA TUKIO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: