TUDUMISHE AMANI.
AMIR NA MBASHIRI MKUU JUMUIYA YA WAISLAM WAAHMADIYYA TANZANIA SHEKH TAHIR MOHMOOD CHAUDHRY AKIFAFANUA JAMBO KATIKA MKUTANO WA KUJADILI NA KUENDELEZA AMANI NA NAMNA YA KUDUMISHA UPENDO ILIYOANDALIWA NA TAASISI YA JUMUIYA YA WAISLAM WAAHMADIYYA TANZANIA ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MANISPAA YA MOROGORO, KUSHOTO NI SHEKH MKUU WA JUMUIYA HOYO MKOA WA MOOROGORO ASIF MAHMOOD.
0 comments:
Post a Comment