MKAZI WA KIHONDA MANISPAA YA MOROGORO AKIPANDA MMOJA YA MABASI MATANO YALIYOTOLEWA NA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD ILI WANANCHI WAPANDE BURE KATIKA JITIHADA ZA KUOKOA JAHAZI LA MGOMO WA DALADALA ILIOITISHWA NA UMOJA WA MADEREVA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA MAENEO MBALIMBALI.
0 comments:
Post a Comment