HAWA NAO WAKINING'INIA KATIKA PICKUP WAKATI WAKIELEKEA MJINI. mtanda blog 12:55 PM Edit HAPA PICK UP NALO LIKIWA NA ABIRIA AMBAPO BAADHI YAO WAKINING'INIA PEMBENI MWA GARI HILO JAMBO AMBALO NI HATARI LAKINI ILIMRADI KILA MTU AWEZE KUWAHI KAZI AMBAPO WALIKUWA WAKITOZWA NAULI KIASI CHA SH 500. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment