BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO NI KAMA ANASEMA HIVI.


TUNA MATATIZO MENGI MH MBUNGE UKITUSAIDIA UPATIKANAJI WA PILIPIKI KWA AJILI YA VIJANA WANGU KUFANYA KAZI YA DOLIA ITAFAA SANA HUKU MBUNGE WA JIMBO HILO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AKIANDIKA KATIKA KARATASI SIJUI ANAANDIKA MATATIZO HAYO ILI BAADAYE AWASAIDIE MATATIZO HAYO YANAYOWAKABILI, HILO SIJUI. LAKINI KATIKA ZIARA HIYO ALIAHIDI KUWASAIDI NA KUWATAFUTIA WAFADHILI ILI KUTATUA KERO MBALIMBALI ZINAZOWAKARI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: